Wakala Wa Taifa Wa Hifadhi Ya Chakula

.

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu

Wadhifa

Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula Inawatakia Heri ya Krismass na Mwaka Mpya 2018 Kaimu Afisa mtendaji Mkuu akipokea maelezo juu ya zoezi la upelekwaji mahindi meupe Ngorongoro Meneja wa Kanda ya Arusha akikagua mahindi yaliyo tayari kupelekwa Ngorongoro Katibu Mkuu Kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri Mhandisi Yustaki Kangolle wakiwa kwenye kikao cha Bodi NFRA Naibu waziri wa Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa (Mb) akiwa na watendaji wa NFRA alipofanya ziara Kanda ya Songea hivi karibuni Naibu waziri wa Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa (Mb) akipokea maelezo kuhusu hifadhi ya chakula kutoka kwa Kaimu Mtendaji Mkuu, katikati ni kaimu Meneja Kanda ya Makambako Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu akitoa maelezo kwa Naibu Waziri kilimo wakati wa Ziara aliyoifanya Kanda ya Sumbawanga hivi Karibun Meneja wa Kanda ya Arusha Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya chakula (NFRA) Bwana Ramadhan Nondo akitoa taarifa fupi kuhusu ukusanyaji wa mazao mbele ya Naibu waziri wa Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa (Mb) wakati wa kikao cha pomoja, hivi karibuni Sehemu ya shehena ya mahindi iliyonunuliwa na Wakala wa Taifa wa Chakula Kanda ya Makambako kwenga ghala la Kituo cha Mbozi kama lilivyoonekana wakati wa ziara maalum ya Wanahabari hivi karibuni Sehemu  ya Shehena ya Mahindi yaliyonunuliwa na Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula Kanda ya Makambako ikiwekwa ghalani kwa kutumia mashine maalum sambamba na Vibalua wanaoonekana wakiyapanda magunia ya mahindi kwa mishali baada ya kupandishwa na mashin Makamu wa Rais Mh. Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na Wazili wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi wa Zanzibar Mh. Hamad Rashid Mohammed wakipokea maelezo juu ya Uhifadhi Chakula Kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu walipotembelea NFRA kwenye viwanja vya Ngongo Mk Historia

Matukio

29 May 2016

Maafisa ubora na watunza stoo watashiriki mafunzo ya kuwaweka tayari kwaajiri ya msimu unaokuja wa ununuzi wa chakula.

Copyright © National Food Reserve Agency 2014. All Rights Reserved