Uzinduzi wa Mradi wa Ujenzi wa Vihenge

Imewekwa: Apr 24, 2018


Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula anawatangazia Wananchi wote, kuwa Wakala utafanya Uzinduzi wa Mradi wa kuongeza uwezi wa Uhifadhi nafaka Mjini Dodoma tarehe 21/04/2018 wote mnakaribishwa