Wakala Wa Taifa Wa Hifadhi Ya Chakula

Matukio

29 May 2016

Maafisa ubora na watunza stoo watashiriki mafunzo ya kuwaweka tayari kwaajiri ya msimu unaokuja wa ununuzi wa chakula.

Habari

Kikao cha kwanza cha Menejimenti ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula kwa mwaka mpya wa fedha chafanyika Dodoma

Kikao cha kwanza cha kazi cha Menejimenti ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula kimefanyika mkoani Dodoma kwenye Ofisi za Wakala wa Taifa Kanda ya Dodoma kwa lengo la kupanga na kuboresha mipango na utekelezaji wa majukumu mbalimbali kwa...

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo afungua mkutano wa kikazi kati ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula pamoja na timu ya Watendaji wa Wizara ya Kilimo ya Zanzibar

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi (KILIMO) Mhandisi Mathew Mtigumwe leo amefungua mkutano wa kikazi wenye lengo la kubadirishana uzoefu na kujenga uwezo kati ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Tanzania Bara na Wizara...

Wakulima katika Kanda ya Makambako waagizwa kuzingatia ubora na kuongeza thamani ya mazao yao

Wakulima katika Kanda ya Makambako waagizwa kuzingatia ubora na kuongeza thamani ya mazao yao

Kanda ya Dodoma yasambaza zaidi ya tani elfu 2 kwa ajili ya kukabiliana na mfumuko wa bei ya chakula

Wakala wa Taifa Hifadhi ya Chakula Kanda ya Dodoma yasambaza zaidi ya tani elfu 2 kwa ajili ya kukabiliana na mfumuko wa bei ya chakula

Copyright © National Food Reserve Agency 2014. All Rights Reserved