Habari

MHE MGUMBA AIPONGEZA (NFRA) KWA KUPATA HATI SAFI KWA MIAKA SABA MFULULIZO

Naibu Waziri wa kilimo Mhe Omary Mgumba (Mb) ameupongeza Uongozi wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula kwa kupata hati safi na isiyo na mashaka kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG ) katika kipindi cha miaka saba mfululizo kuanzia 2011/2012 hadi 2017/2018. Soma zaidi

Imewekwa: Jul 18, 2018

UZALISHAJI WA CHAKULA NCHINI UMEIMARIKA-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hali ya uzalishaji wa mazao ya chakula nchini imeimarika na kufikia tani milioni 15.9 kwa msimu wa mwaka 2016/2017 na 2017/2018 sawa na kuwa na ziada ya tani milioni 2.6. Soma zaidi

Imewekwa: Apr 25, 2018

BAADA YA UJENZI WA MAGHALA NA VIHENGE VYA KISASA KUKAMILIKA (NFRA) ITAKUWA NA UWEZO WA KUHIFADHI TANI 501,000

Hali ya uzalishaji wa mazao ya chakula nchini inazidi kuimarika huku serikali kupitia wizara ya kilimo ikiwa imejipanga kukabiliana na changamoto ya uchache wa maghala ya kuhifadhia mazao mbalimbali hususani mahindi. Soma zaidi

Imewekwa: Apr 25, 2018

RC OLE SENDEKE AIOMBA (NFRA) KUTENGENEZA SOKO LA WAKULIMA NJE YA NCHI

Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) umetakiwa kuwasaidia wakulima nchini kutengeneza soko la mazao mbalimbali wanayozalisha hususani mahindi ili kupata soko la kuridhisha nje ya nchi. Soma zaidi

Imewekwa: Apr 25, 2018

BARAZA LA WAFANYAKAZI (NFRA) LATUAMA KWA SIKU MBILI MJINI DODOMA

Wajumbe wa Baraza la wafanyakazi la Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) wamekutana kwa siku mbili Mjini Dodoma Soma zaidi

Imewekwa: Apr 24, 2018