Wakala Wa Taifa Wa Hifadhi Ya Chakula

Matukio

29 May 2016

Maafisa ubora na watunza stoo watashiriki mafunzo ya kuwaweka tayari kwaajiri ya msimu unaokuja wa ununuzi wa chakula.

Kuzungusha Akiba ya Chakula

Wakala huhifadhi nafaka kwenye maghala kwa kipindi kisichozidi miaka mitatu. Ili kuongeza usambazaji wa nafaka katika masoko, Wakala huingiza chakula katika masoko yaliyobainika kuwa na upungufu wa chakula. Aidha, Wakala huuza chakula kwa taasisi mbalimbali ili kukidhi mahitaji wa wakati. Uuzaji wa nafaka husaidia Wakala kupata nafasi ya ununuzi wa mazao mapya na kupata mapato ya kurudishia ghalani mazao mpya.

Copyright © National Food Reserve Agency 2014. All Rights Reserved